Nenda kwa yaliyomo

Afaf Lutfi al-Sayyid-Marsot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Afaf Lutfi al-Sayyid-Marsot (alizaliwa mwaka 1933) ni mwanahistoria mzaliwa wa Misri na profesa wa historia katika Chuo Kikuu cha California, Los Angeles (UCLA).al-Sayyid-Marsot ameandika vitabu vingi kuhusu historia ya Misri kuanzia karne ya kumi na nane hadi sasa. [1]

  1. Interview with Afaf Lutfi al-Sayyid Marsot, The Historian, Vol. 54, Issue 2 (1992), pp. 225-42.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Afaf Lutfi al-Sayyid-Marsot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.