Nenda kwa yaliyomo

Aed wa Kildare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aed wa Kildare (jina la awali: Aed Dub mac Colmain; Ireland, karne ya 6 - 639[1]) alikuwa mfalme wa Leinster[2] hadi mwaka 592 alipong'atuka ili kujiunga na monasteri ambapo aliishi miaka mingi akawa abati wake na askofu wa Kildare kwa miaka 9 hadi kifo chake [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 4 Januari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.