Adriaan Diedericks

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adriaan Hermanus Diedericks (alizaliwa 1 Novemba 1990, Cape Town, Afrika Kusini) ni msanii wa nchini Afrika Kusini. Anajulikana. kwa utengenezaji wa sanamu za kisasa za shaba. [1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Diedericks, Adriaan – Investment Art | Art Valuations. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-01-29. Iliwekwa mnamo 2018-12-20.
  2. Franschhoek Wine Valley | Solo exhibition by Adriaan Diedericks "Perceptive Resonance" at Art in the Yard. franschhoek.org.za. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-02-12. Iliwekwa mnamo 2018-12-20.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adriaan Diedericks kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.