Adonis Puentes
Mandhari
Adonis Puentes (alizaliwa mwaka 1974) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Kuba na Kanada ambaye anaimba kwa Kihispania na Kiingereza.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "From Cuba, with rhythm: The Adonis Puentes story". The Globe and Mail, August 13, 2012.
- ↑ "Adonis Puentes and Voice of Cuba Orchestra bring their music to PEI" Archived Julai 29, 2015, at the Wayback Machine. Journal Pioneer, June 30, 2015.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adonis Puentes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |