Nenda kwa yaliyomo

Admir Salihović

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Admir Salihović (alizaliwa Novemba 15, 1989) ni mchezaji wa soka kutoka Bosnia anayecheza katika klabu ya EDC FC Burnaby kwenye Ligi ya soka ya Vancouver Metro.[1]


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Admir Salihović kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.