Adjaratou Abdoulaye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adjaratou Abdoulaye ni mwanasiasa wa Togo na mbunge wa Bunge la Afrika na la Togo. Alichaguliwa kwenye Bunge la Togo katika uchaguzi wa bunge 2007, akiwakilisha Mkutano wa Watu wa Togo. Alichaguliwa kwenye Bunge la Afrika kwa kipindi cha 2009-2014.


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adjaratou Abdoulaye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.