Adidjatou Mathys
Mandhari
Adidjatou Mathys ni mwanasiasa na mwalimu kutoka Benin. Yeye ni Waziri wa Kazi na Utumishi wa Umma wa sasa nchini Benin, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo mapema mwaka 2021 na rais wa sasa wa Benin, Patrice Talon. Kipindi chake kilianza tarehe 25 Mei, 2021.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Gouvernement de la République du Bénin". Gouvernement de la République du Bénin (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2023-12-13.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adidjatou Mathys kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |