Mshanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Adenanthera pavonina)
Mshanga
(Adenanthera pavonina)
Mshanga huko Uhindi
Mshanga huko Uhindi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe)
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mharagwe)
Nusufamilia: Mimosoideae
Jenasi: Adenanthera
L.
Spishi: A. pavonina
L.

Mshanga (Adenanthera pavonina) ni mti mdogo wa familia Fabaceae. Umepata jina lake kwa sababu mbegu zake nyekundu hutumika kama shanga.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mshanga kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.