Nenda kwa yaliyomo

Adelle Davis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adelle Davis (25 Februari 1904 – 31 Mei 1974) alikuwa mwandishi na mtaalamu wa lishe kutoka Marekani, anayechukuliwa kuwa “mtaalamu wa lishe maarufu zaidi mwanzoni hadi katikati ya karne ya 20”.[1]

Alitetea kuboreshwa kwa afya kupitia lishe bora. Mwaka 1942 aliandika kitabu cha awali cha kitaaluma kuhusu lishe, na baadaye akachapisha vitabu vinne vilivyokuwa maarufu sana kwa wasomaji wa kawaida. Vitabu hivyo vilisisitiza umuhimu wa vyakula vya asili na kukosoa mfumo wa lishe wa wastani wa Wamarekani.

Vitabu vyake viliuzwa zaidi ya nakala milioni 10 na vilikuwa na ushawishi mkubwa katika kubadilisha tabia za ulaji nchini Marekani.

  1. ↑ Bissonnette, David (2014). [It's) All about Nutrition: Saving the Health of Americans. University Press of America. uk. 150. ISBN 9780761863809. {{cite book}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adelle Davis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.