Nenda kwa yaliyomo

Adelaide Tambo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adelaide Frances Tambo (18 Julai 1929 – 31 Januari 2007) alikuwa mwanaharakati wa Afrika Kusini dhidi ya ubaguzi wa rangi na aliyewahi kuwa mhamasishaji wa kisiasa uhamishoni.

Alishiriki katika siasa za Afrika Kusini kwa zaidi ya miaka 50 na alikuwa mke wa Oliver Tambo, ambaye alikuwa rais wa chama cha African National Congress (ANC), kati ya 1967 hadi 1991.[1]

  1. ↑ Beresford, David (2 Februari 2007). "Adelaide Tambo". The Guardian.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adelaide Tambo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.