Adelaide Ntim
Mandhari
Adelaide Yaa Agyeiwaa Ntim (amezaliwa 24 Juni, 1971) ni mwanasiasa wa Ghana. Amekuwa Mbunge wa jimbo la Nsuta-Kwamang-Beposo katika Mkoa wa Ashanti Region tangu 7 Januari, 2021.
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Adelaide Yaa Agyeiwaa Ntim alizaliwa tarehe 24 Juni 1971 na anatoka Nsuta-Ashanti. Ana Diploma mbili – Kisaidizi cha Dawa (Pharmacy Assistant) mwaka 2017, na [[Sheria[[ ya Jinai ya Msingi (Basic Criminal Law) mwaka 2019.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Parliament of Ghana". www.parliament.gh. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Agosti 2020. Iliwekwa mnamo 2021-02-27.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ntim, Adelaide". Ghana MPS (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Agosti 2022. Iliwekwa mnamo 2022-08-29.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Green Ghana Day exercise must not become a nine-day wonder — Nsuta Kwamang Beposo MP". Modern Ghana (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Agosti 2022. Iliwekwa mnamo 2022-08-29.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adelaide Ntim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |