Nenda kwa yaliyomo

Adedeji Adeleke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adedeji Tajudeen Adeleke (amezaliwa 6 Machi 1957)[1][2] ni mfanyabiashara mkubwa kutoka Nigeria na rais wa Chuo Kikuu cha Adeleke.[3][4] Pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Pacific Holdings Limited.[1] Adedeji ni baba wa mwanamuziki, Davido [5] na Sharon Adeleke.[6] Alimuoa Dokta Vero Adeleke, ambaye alifariki tarehe 6 Machi 2003. Kwa sasa, mdogo wake anayeitwa Ademola Adeleke ndiye gavana wa Jimbo la Osun.[6]

Mnamo mwaka 1979, Adeleke alipata Shahada ya Awali ya Sayansi katika Fedha kutoka Chuo Kikuu cha Western Kentucky.[7]

  1. 1 2 "DAVIDO's FATHER NET WORTH 2018 AND BIOGRAPHY {Deji Adeleke} - Net Worth Visa". Net Worth Visa (kwa American English). 2018-01-02. Iliwekwa mnamo 2018-05-15.
  2. "Born rich: How Davido's unborn son is already minting millions". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Juni 2020. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Prof. Amusan revelation on why Adeleke University charges the lowest fee of all Nigerian University". The Sun News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Agosti 2015. Iliwekwa mnamo 23 Agosti 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "VC flays FG for excluding private varsities from TETFUND". The Punch. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Agosti 2015. Iliwekwa mnamo 23 Agosti 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Dr Deji Adeleke (Davido's Father): Net Worth" (kwa American English). 12 Agosti 2019. Iliwekwa mnamo 2020-05-28.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. 1 2 "Davido Father: Net Worth, Private Jet, House, Cars & Rare Facts | Jiji.ng Blog". Jiji.ng Blog (kwa American English). 2017-09-09. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Agosti 2018. Iliwekwa mnamo 2018-05-15.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Dr Adedeji Adeleke". Adeleke University (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-01-03.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adedeji Adeleke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.