Adana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:29, 9 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 76 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q38545 (translate me))


Adana
Adana is located in Uturuki
Adana
Adana

Mahali pa mji wa Adana katika Uturuki

Majiranukta: 37°0′N 35°19.28′E / 37.000°N 35.32133°E / 37.000; 35.32133
Nchi Uturuki
Kanda Mediterranea
Mkoa Adana
Idadi ya wakazi (2007)[1]
 - Wakazi kwa ujumla 2,530,257, ambao wengine 1,566,027 wanaishi mijini

Adana (Kigiriki Άδανα) ni mji mkubwa katika nchi ya Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 1,130,710 waishio huko,[2] na kuufanya kuwa mmoja kati ya miji mitano mikubwa ya Uturuku (baada ya Istanbul, Ankara, İzmir na Bursa). Mwaka wa 2006 mji wa Adana umekadiriwa kufikia iadadi ya wakazi wapatao 1,271,894. Huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Adana.

Marejeo

  1. Türkiye istatistik kurumu Address-based population survey 2007. Retrieved on 2008-03-21.
  2. GeoHive - Turkey - Administrative units

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: