Adam Lepa
Mandhari
Adam Lepa (17 Machi 1939 – 27 Aprili 2022) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Polandi.
Alizaliwa nchini Polandi akapadrishwa mwaka 1962. Alihudumu kama askofu wa jimbojina la Regiana na askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Łódź kuanzia mwaka 1988 hadi alipoastaafu mwaka 2014.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |