Nenda kwa yaliyomo

Adam Baldwin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adam Baldwin (alizaliwa Februari 27, 1962) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka Marekani. Alianza kazi yake ya uigizaji kupitia filamu My Bodyguard (1980) na baadae alionekana katika filamu ya kivita ya Full Metal Jacket (1987) kama Animal Mother, na katika mfululizo wa televisheni Firefly pamoja na muendelezo wake wa filamu Serenity, akicheza kama Jayne Cobb. Nyusika zake nyingine ni pamoja na Stillman katika Ordinary People (1980), Kanali John Casey katika Chuck, na Mike Slattery katika The Last Ship.[1]

  1. Ryan, Maureen (Januari 6, 2010). "'Chuck's' Adam Baldwin on John Casey, a man of few words and many bullets". Chicago Tribune. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 14, 2010. Iliwekwa mnamo Novemba 9, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adam Baldwin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.