Nenda kwa yaliyomo

Adalberto Martínez Flores

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adalberto Martínez Flores (alizaliwa 8 Julai 1951) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Paraguay ambaye aliteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Asunción mwaka 2022. Amekuwa askofu tangu mwaka 1997.

Flores aliteuliwa kuwa kardinali na Papa Fransisko katika konsistori ya tarehe 27 Agosti 2022. Yeye ni kardinali wa kwanza kutoka Paraguay.[1]

  1. "El Papa Francisco creará al primer cardenal de Paraguay" (kwa Kihispania). ACI Prensa. 29 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.