Nenda kwa yaliyomo

Adalbert wa Austria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adalbert (anajulikana kama Adalbert Mshindi; 98526 Mei 1055) alikuwa Margrave wa Austria kuanzia mwaka 1018 hadi kifo chake mwaka 1055.

Ndoa na Familia

[hariri | hariri chanzo]

Adalbert alioa kwa mara ya kwanza Glismonda wa West-Saxony. Hawakuwa na watoto waliyojulikana.

Baadae alioa Frozza Orseolo, ambaye baadaye alichukua jina la Adelheid. Alikuwa dada wa Peter Urseolo wa Hungaria.[1] Frozza na Adalbert walikuwa na wana wawili:

  • Leopold (aliyefariki 9 Desemba 1043), Margrave wa Hungarian March.
  • Ernest, aliyekuwa Margrave wa Austria.
  1. Dümmerth Dezső: Az Árpádok nyomában. Panoráma Kiadó 1977.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adalbert wa Austria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.