Nenda kwa yaliyomo

Ada Negri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ada Negri (Lodi, 3 Februari 1870 – Milano, 11 Januari 1945) alikuwa mshairi na mwandishi kutoka nchini Italia.[1] Alikuwa mwanamke wa kwanza na wa pekee kukubaliwa kuwa mwanachama wa Chuo cha Kifalme cha Italia (Academy of Italy).[2]

  1. ↑ "Negri, Ada katika Enciclopedia Treccani" (kwa Kiitaliano). Istituto della Enciclopedia Italiana. Iliwekwa mnamo 17 Mei 2026.
  2. ↑ "Ada Negri". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 17 Mei 2026.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ada Negri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.