Adıyaman
Adıyaman (Kizazaki: Semsur) (Perre ya kale au Pordonnium) ni mji uliopo kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki, na pia ni mji mkuu wa Mkoa wa Adıyaman. Ni mmoja kati ya miji inayokuwa haraka zaidi katika nchi ya Uturuki. Idadi ya wakazi wa huko inaanzia 100,045 (1990) hadi 178,538 (2000) (kwa mjibu wa sensa zao).
Jina
Mwanzoni mji ulikuwa na jina la Kiarabu 'Hisnimansur' likiwa kama jina rasmi la mji hadi kufikia mwaka 1926, lakini jina hili likawa gumu kwa watu wa Uturuki kulitamka, na badala yake wakawa wanalifupisha na kuliita 'adi yaman' ikawa na maana ya 'jina gumu' au '(eneo) la jina gumu katika Uturuki. Mnamo 1926, jina hili likawa ndiyo jina kamili la mji huu.
Historia
Adıyaman ya leo
Marejeo
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Adıyaman kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |