Acaye karunen Elizabeth
Mandhari
Acaye Kerunen Elizabeth ni mwandishi, mshairi, mwigizaji, msanii wa uigizaji wa kisanaa (performance artist), msanii wa sanaa ya usakinishaji (installation artist), na mwanaharakati wa sanaa kutoka Uganda.[1][2][3][4][5]Yeye ni mwanzilishi na mkurugenzi wa jukwaa la KEBU. [6]Alikuwa msanii wa kwanza mwanamke kutoka Uganda kuonyesha kazi zake chini ya banda la kwanza kabisa la Uganda katika Maonyesho ya Kimataifa ya Sanaa ya 59 ya Biennale di VeVenezia
Marejeo
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Acaye karunen Elizabeth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "Ugandan art puts best foot forward in Venice". Monitor (kwa Kiingereza). 2022-07-17. Iliwekwa mnamo 2026-01-31.
- ↑ "Acaye holds her own in provocative Awinju". Monitor (kwa Kiingereza). 2021-01-04. Iliwekwa mnamo 2026-01-31.
- ↑ https://www.independent.co.ug/radiance-of-ugandan-art-at-the-59th-edition-of-venice-biennale/
- ↑ https://africanah.org/pamela-elizabeth-acaye-kerunen/
- ↑ https://web.archive.org/web/20231001143641/https://www.observer.ug/lifestyle/health/18898-babe-of-the-week-acaye-fuelled-by-poetry
- ↑ https://web.archive.org/web/20231001143641/https://www.observer.ug/lifestyle/health/18898-babe-of-the-week-acaye-fuelled-by-poetry