Abusuapanin Judas
Mandhari
Tweneboah Kodua (aliyezaliwa mwaka 1945), anayejulikana pia kama Abusuapanin Judas au Judas, ni mwigizaji na mchekeshaji wa Ghana ambaye ameshiriki katika filamu nyingi. Alikuwa rafiki wa marehemu Santo Bob . Pia alikuwa mwanzilishi wa kikundi cha Ominitimininim Concert Party, ambapo Bob Santo alikuwa kiongozi wa kikundi hicho[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abusuapanin Judas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ Anthony, Ms. Ellies (2017-06-12), ""You Cannot Compare Lilwin and Agya Koo To Me - Abusuapanin Judas - GhanaCelebrities.Com", GhanaCelebrities.Com (kwa American English), ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-05, iliwekwa mnamo 2026-09-26
- ↑ NY (2019-10-18), "Abusuapanyin Judas narrates the real story behind Santo's untimely death", GhBase•com™-Everything & News Now (kwa American English), ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-05, iliwekwa mnamo 2026-09-26