Uwanja wa michezo wa Abubakar Tafawa Balewa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abubakar Tafawa Balewa Uwanja wa Bauchi Lango la Kuingia
Abubakar Tafawa Balewa Uwanja wa Bauchi Lango la Kuingia

Uwanja wa michezo wa Abubarkar Tafawa Balewa ni uwanja wenye matumizi tofauti tofauti huko Bauchi, nchini Nigeria. Kwa sasa unatumiwa zaidi kwa mpira wa miguu (soka), na ndio uwanja wa nyumbani wa Wikki Tourists Football Club. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 11,000[1] .Uwanja wa Abubakar Tafawa Balewa ulikuwa moja wapo ya viwanja 8 vilivyotumika kwa ajili ya Kombe la Dunia la FIFA tokea mwaka 2009 na jumla ya mechi 3 zilifanyika katika uwanja huo.[2] mechi ya kwanza ya mashindano ilikuwa kati ya Nigeria na Argentina, ambayo iliwakilisha kikundi A na iliudhuriwa na watu 11,467[3].

Uwanja huo uliandaliwa pamoja na ubao wa kiwango cha kimataifa cha FIFA, onyesho la (LED) na taa za kuokoa nishati,, Televisheni ya Mzunguko (CCTV) kwa ajili ya ufuatiliaji wa usalama, na kituo cha media cha kisasa. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Bauchi Awards N140m Contact For Renovation Of ATB Stadium". theeagleonline.com. Iliwekwa mnamo 19 January 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. FIFA.com. "FIFA U-17 World Cup 2009 - Swiss take their place in history - FIFA.com". www.fifa.com (kwa en-GB). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-04. Iliwekwa mnamo 2020-12-18.  Unknown parameter |= ignored (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. Kriete, Horst (2009). "FIFA u-17 World Cup Nigeria 2009: Technical Report and Statistics". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-13. Iliwekwa mnamo 2021-06-09.  Unknown parameter |= ignored (help)
  4. Hotels.ng. "Abubakar Tafewa Balewa Stadium". Hotels.ng (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-19. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Abubakar Tafawa Balewa kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.