Abu Sa'id Qansuh
Mandhari
Abu Sa'id Qansuh (pia anajulikana kama Qansuh Al-Ashrafi, Qansuh I au Al-Zahir Qansuh) alikuwa Sultani wa ishirini na tatu wa Misri kutoka nasaba ya Wamamluki wa Burji. Alitawala kati ya mwaka 1498 hadi 1500.[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ D'hulster, Kristof; Steenbergen, Jo Van. "Family Matters: The Family-In-Law Impulse in Mamluk Marriage Policy". Annales Islamologiques. 47: 61–82. Iliwekwa mnamo 2021-12-01.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abu Sa'id Qansuh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |