Nenda kwa yaliyomo

Abu'l Abbas Ahmad wa Morocco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mulay Ahmed Dehbi (anajulikana pia kama Moulay Ahmad ad Dahabi au kwa jina kamili Abul Abbas Mulay Ahmad ud-Dhahabi bin Ismail as-Samin; 16775 Machi 1729), alikuwa Sultani wa Moroko kati ya mwaka 17271728 na tena 1728–1729.

Alizaliwa Meknes mwaka 1677, akiwa ni mwana wa Ismail Ibn Sharif. Kati ya mwaka 1699 na 1700 alikuwa Khalifa wa Tadla.[1][2] Alipanda madarakani tarehe 22 Machi 1727 baada ya kifo cha baba yake.

Alipinduliwa mwaka 1728 na Abdalmalik wa Moroko, lakini alirudishwa madarakani kwa muda mfupi baadaye huko Oued Beht. Alipinduliwa tena siku ya kifo chake tarehe 5 Machi 1729 mjini Meknes. Alifuatwa na kaka yake wa kambo Abdallah wa Moroko.[3]

  1. Division, Great Britain Naval Intelligence (1942). Morocco (kwa Kiingereza). Naval Intelligence Division. uk. 47.
  2. Africa, Unesco International Scientific Committee for the Drafting of a General History of (1 Januari 1999). Africa from the Sixteenth to the Eighteenth Century (kwa Kiingereza). James Currey. uk. 118. ISBN 9780852550953.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Hamel, Chouki El (27 Februari 2014). Black Morocco: A History of Slavery, Race, and Islam (kwa Kiingereza). Cambridge University Press. uk. 213. ISBN 9781139620048.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abu'l Abbas Ahmad wa Morocco kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.