Nenda kwa yaliyomo

Abol-Ghasem Kashani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abol-Ghasem Mostafavi-Kashani (Abu’l-Qāsem Kāšāni; 19 Novemba 1882 – 14 Machi 1962[1]) alikuwa mwanasiasa wa Iran na Marja' wa dhehebu la Shia. Alicheza jukumu muhimu katika mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 1953 nchini Iran na kupinduliwa kwa Waziri Mkuu Mohammad Mosaddegh.[2]

  1. ↑ NYT, 15 Machi 1962, p. 35.
  2. ↑ Allen-Ebrahimian, Bethany (Juni 20, 2017). "64 Years Later, CIA Finally Releases Details of Iranian Coup" (kwa American English). Foreign Policy. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 20, 2017. Iliwekwa mnamo Septemba 10, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abol-Ghasem Kashani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.