Nenda kwa yaliyomo

Abo wa Tiflis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Abo katika mozaiki huko Tbilisi.

Abo wa Tiflis (kwa Kiarabu: أبو التفليسي, Abu al-Tiflisi; kwa Kigeorgia: აბო თბილელი; Baghdad, Iraki, 756 - Tbilisi, Georgia, 6 Januari 786) alikuwa Mwarabu Mwislamu ambaye polepole aliongokea Ukristo akajaribu kufanya wengine wafuate mfano wake. Baada ya miaka mitatu ya utume wake huo, ulioendelea bila kujali vitisho, alikamatwa na kuuawa [1] [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Januari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Martyr Abo the Perfumer, of Tbilisi, Georgia". oca.org.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/61502

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 13-14

Marejeo ya Kiingereza

[hariri | hariri chanzo]
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-14-051312-4.
  • Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.