Abner Felipe
Mandhari
Abner Felipe Souza de Almeida (alizaliwa 30 Mei 1996), anayejulikana kwa jina la Abner, ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Brazil, anayekipiga katika nafasi ya beki wa kushoto kwa klabu ya Dunkerque inayoshiriki Ligi ya Ligue 2 nchini Ufaransa.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Abner, a promessa da lateral esquerda" [Abner, the left back prospect] (kwa Kireno (Brazili)). Doentes por Futebol. Aprili 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Februari 2019. Iliwekwa mnamo 8 Februari 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abner Felipe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |