Nenda kwa yaliyomo

Abimbola Windapo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abimbola Windapo ni profesa wa Nigeria wa Usimamizi wa Ujenzi katika Chuo Kikuu cha Cape Town (UCT) akiwa ndiye profesa wa kwanza mwanamke wa Usimamizi wa Ujenzi nchini Nigeria na pia nchini Afrika Kusini. [1][2]

  1. Carla, Bernado (2020-12-02). "SA and Nigeria's first woman professor in construction management". www.news.uct.ac.za (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-07-01.
  2. Steed, Leila (2020-12-14). "First female construction professor in SA and Nigeria". KHL Group (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-07-01.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abimbola Windapo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.