Nenda kwa yaliyomo

Abigail Mbalo-Mokoena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abigail Mbalo-Mokoena ni mpishi na mmiliki wa migahawa kutoka Afrika Kusini. Yeye ni mpishi mkuu, mmiliki na mkurugenzi wa ubunifu wa mgahawa wa 4Roomed, unaojulikana pia kama 4Roomed eKasi Culture.[1]

  1. French, Laura (14 Agosti 2019). "Abigail Mbalo, Masterchef contestant and restaurateur". Travel Weekly. Iliwekwa mnamo 21 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abigail Mbalo-Mokoena kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.