Nenda kwa yaliyomo

Abigail Johnson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abigail Pierrepont Johnson (Alizaliwa Desemba 19, 1961) ni mfanyabiashara bilionea, mrithi, na afisa mkuu mtendaji wa Fidelity Investments nchini Marekani.[1] Familia yake na washirika wao wanamiliki takriban asilimia 40 ya Fidelity Investments, iliyoanzishwa na babu yake, Edward C. Johnson II. Kufikia Juni 2024, utajiri wake ni takribani dola bilioni 35.6, na alikuwa akiorodheshwa kati ya wanawake kumi wenye nguvu zaidi duniani kila mwaka tangu 2017.[2][3][4]

  1. "Abigail Johnson". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-26.
  2. Gyftopoulou, Loukia (Machi 22, 2024). "Fidelity's Abby Johnson Tightens Grip on Far-Flung Family Empire". Wealth Management.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Johnson still Fidelity successor?". CNN. Oktoba 28, 2005.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Grind, Kirsten (Oktoba 13, 2014). "Abigail Johnson Named CEO of Fidelity Investments". The Wall Street Journal.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abigail Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.