Abigail Bush

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abigail Bush

Abigail Norton Bush (Machi 19, 181010 Desemba 1898) alikuwa mkomeshaji na mtetezi wa haki za wanawake huko Rochester, New York.

Alihudumu kama raisi wa mkataba wa Haki za Wanawake wa Rochester wa mwaka 1848 ambao ulifanyika mwaka 1848 mara baada ya mkataba wa kwanza wa haki za wanawake, Seneca Falls Convention. Kwa kufanya hivyo, Bush akawa mwanamke wa kwanza kuongoza mkutano wa hadhara uliojumuisha wanaume na wanawake nchini Marekani[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mary Huth (1995). "Upstate New York and the Women's Rights Movement: The Seneca Falls and Rochester Conventions". University of Rochester Library. Iliwekwa mnamo October 4, 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abigail Bush kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.