Abeti Masikini (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abeti Masikini
Abeti Masikini Cover
Studio album ya Abeti Masikini
Imetolewa 1975
Aina Rumba, Jazz
Lebo Pathé
Mtayarishaji Gérard Akueson
Wendo wa albamu za Abeti Masikini
Pierre Cardin Présente: Abeti
(1973)
Abeti Masikini (albamu)
(1975)
Eddy'Son Présente Abeti Masikini
(1975)


Abeti Masikini ni jina la kutaja santuri ya albamu ya mwimbaji mashuhuri kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama Abeti Masikini iliyotoka 1975 huko nchini Ufaransa. Albamu imechukua jina la msanii mwenyewe. Albamu ina wimbo maarufu kwa Afrika Mashariki ni "Likayabo."

Tangu kutoka kwake ilisambazwa na Pathé ya Ufaransa.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Hii ni orodha ya nyimbo zilizopo katika albamu hii.

 • A1 Likayabo
 • A2 — Ngele Ngele
 • A3 — Ngoyaye Bella Bellow
 • A4 — Kiliki Bamba
 • B1 — Yamba Yamba
 • B2 — Naliku Penda
 • B3 — Sungula
 • B4 — Acha Maivuno

Kikosi kazi[hariri | hariri chanzo]

 • Sauti za uimbaji - Abeti Masikini
 • Muziki – Abeti Masikini
 • Mtayarishaji – Gérard Akueson

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]