Nenda kwa yaliyomo

Abena Durowaa Mensah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abena Durowaa Mensah (amezaliwa 21 Juni, 1977) ni mwanasiasa wa Ghana na mwanachama wa New Patriotic Party (NPP). Alikuwa Mbunge wa jimbo la Assin North.[1]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Abena Durowaa Mensah alizaliwa tarehe 21 Juni 1977 katika Assin Kushea, Mkoa wa Central Region wa Ghana. Ana Diploma katika Bima (Insurance) kutoka Ghana Insurance College, Cheti cha Kitaaluma katika Masoko (Marketing) kutoka CIM – Uingereza, na shahada ya kwanza (Bachelor's degree) katika Masoko kutoka Christian Service University College.

  1. "Assin North MP Commissions 8-Seater Toilet Facility". Modern Ghana (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-11-02.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abena Durowaa Mensah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.