Nenda kwa yaliyomo

Abe Burrows

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:AbeBurrows1.jpg
Abe Burrows

Abe Burrows (18 Desemba 191017 Mei 1985) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Abram Solman Borowitz. Mwaka wa 1962, pamoja na mtunzi Frank Loesser, Burrows alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yao How to Succeed in Business Without Really Trying.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abe Burrows kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.