Nenda kwa yaliyomo

Abdurashid Khan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ishara ya Amanni Shahan. Yarkand. 2011

Abdurashid Khan (kwa Kichagatai na Kiajemi: عبد الرشید خان; 1560 - 1508) alikuwa mtawala wa Yarkent Khanate.

Abdurashid Khan alikuwa mzao wa Moghul Khan wa kwanza Tughluk Timur Khan (1347-1363) na alizaliwa mwaka 1508. Aliingia madarakani mwaka 1533 baada ya baba yake na mtangulizi wake, Sultan Said Khan, alipofariki kwa ugonjwa wa mwinuko wakati wa msafara wa kijeshi katika eneo la Kashmir.[1]

Amannisa Khan alikuwa mmoja wa wake wa Abdul Rasid Khan. Anasifiwa kwa kukusanya na hivyo kuhifadhi Muqam Kumi na Mbili, ambao leo unachukuliwa kuwa mitindo wa muziki wa jadi wa watu wa Uyghur huko Mashariki mwa Turkistan, eneo hili kwa sasa linajulikana kama Xinjiang Uyghur Autonomous Region. Muqam wa Xinjiang umeteuliwa na UNESCO kama sehemu ya Urithi wa Kitamaduni Usioshikika.

  1. Bellew, Henry Walter (1875). "Kashmir and Kashghar. A narrative of the journey of the embassy to Kashghar in 1873-74". Internet Archive. London: Trubner & Co, Ludgate Hill. uk. 96. Iliwekwa mnamo 2 Januari 2020. Sultan Said alipata mateso makubwa kutokana na tatizo la kupumua alipokuwa akipita katika maeneo ya nyanda za juu--jambo lililosababisha kifo chake baadaye{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdurashid Khan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.