Nenda kwa yaliyomo

Abdullah bin Khalifa wa Zanzibar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake.

Abdullah bin Khalifa (13 Februari 19111 Julai 1963) alikuwa Sultani wa kumi wa Zanzibar kuanzia tarehe 9 Oktoba 1960, alipofariki baba yake, Khalifa bin Harub [1], hadi kifo chake mwenyewe [2], aliporithiwa kwa miezi michache na mwanae Jamshid.

  1. Brennan, James R. (1 Oktoba 2008). "Lowering the Sultan's Flag: Sovereignty and Decolonization in Coastal Kenya" (PDF). Comparative Studies in Society and History. 50 (4): 831–861. doi:10.1017/S0010417508000364. ISSN 1475-2999. S2CID 143834691.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. McIntyre, Chris (2013). Zanzibar. Bradt Travel Guides. ku. 25. ISBN 978-1841624587.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdullah bin Khalifa wa Zanzibar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.