Nenda kwa yaliyomo

Abdullah Al Noman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abdullah Al Noman

]]

Abdullah Al Noman (2 Julai 194225 Februari 2025) alikuwa mwanasiasa wa Bangladesh ambaye aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Taifa cha Bangladesh (BNP).

Alikuwa mbunge wa Jatiya Sangsad kwa vipindi vitatu, akiwakilisha jimbo la Chittagong-9.Pia aliwahi kuwa waziri wa Uvuvi na Chakula katika baraza la mawaziri la pili la Khaleda Zia.[1][2][3][4][5]

  1. "Leaders say BNP is in 'political paralysis', criticise failure to reignite activities". bdnews24.com. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "BNP veteran Noman upset after denied place in standing committee". bdnews24.com. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Ex-minister Noman surrenders, bailed". bdnews24.com. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Noman joins Jamaat meet defying supporters' request". bdnews24.com. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
  5. "Heavyweights worried as tough fight await them". The Daily Star (kwa Kiingereza). 2008-12-29. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdullah Al Noman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.