Abdulai Salifu Asuro
Mandhari
Profesa Abdulai Salifu Asuro (alizaliwa mwaka 1960) ni profesa wa Ghana kutoka Tamale. Asuro alikuwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Tamale (zamani kikijulikana kama Tamale Polytechnic). Kwa sasa, akiwa ni Rais wa chuo cha Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Madina.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdulai Salifu Asuro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |