Nenda kwa yaliyomo

Abdul Razzaq as-Sawsa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdul Razzaq as-Sawsa (Kiarabu: عبد الرزاق الصوصاع; 3 Februari 1933 – 10 Machi 2016) alikuwa Katibu Mkuu wa Kongamano Kuu la Watu la Libya, na hivyo kwa nadharia alikuwa mkuu wa nchi ya Libya kuanzia 7 Oktoba 1990 hadi 18 Novemba 1992.

Hata hivyo, Muammar Gaddafi ndiye aliyeendelea kuwa na mamlaka makubwa zaidi nchini Libya kama “Kiongozi na Mwongozo wa Mapinduzi.”[1]

  1. ↑ "Libya". www.worldstatesmen.org. Iliwekwa mnamo 2026-05-18.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdul Razzaq as-Sawsa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.