Nenda kwa yaliyomo

Abdul Raziq Achakzai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdul Raziq Achakzai, anajulikana pia kama Jenerali Raziq, (Kipashto: عبدالرازق اڅکزی; Kiajemi: عبدالرازق اچکزی; 1979 – 18 Oktoba 2018) alikuwa Polisi wa Kitaifa wa Afghanistan na mkuu wa polisi wa Mkoa wa Kandahar.[1] Waafghanistan wengi walimchukulia kama shujaa wa kitaifa wakati wengine walimwona kama mkuu wa vita tu.[2][3] Mwishoni mwa mwaka 2001, Achakzai alikuwa mwanachama wa majeshi ya Gul Agha Sherzai ambao Taliban walijisalimisha kwao baada ya vamizi wa Afghanistan uliofanywa na Marekani. Achakzai alichukuliwa kuwa mmoja wa maafisa wa usalama wenye nguvu zaidi nchini Afghanistan katika miaka michache ya mwisho ya maisha yake.

  1. ↑ "Top US commander in Afghanistan unharmed after attack leaves key Afghan general dead, 2 Americans wounded". Military Times. 18 Oktoba 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Oktoba 2018. Iliwekwa mnamo 18 Oktoba 2018.
  2. ↑ Christina Lamb. 9 tons of opium doesn’t make him a bad man. 5 April 2015. The Times.
  3. ↑ NATO bullish, Canadians wary of Afghan warlord Raziq. 27 December 2010. CTV News.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdul Raziq Achakzai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.