Abdul Rahman Haji Ahmadi
Mandhari
Abdul Rahman Haji Ahmadi (akijulikana kama Haji Ahmadi; Iran, Januari 1, 1941 - Machi 18, 2025) alikuwa kiongozi wa Wakurdi wa Irani[1] aliyeongoza kundi linaloitwa Chama cha Maisha Huru cha Kurdistan (PJAK), ambalo linapigana dhidi ya serikali ya Irani kwa lengo la kuanzisha eneo la kujitawala la Wakurdi ndani ya Irani. Inasemekana aliishi uhamishoni akiwa na uraia wa Ujerumani mjini Cologne, Ujerumani, ambako alidaiwa kuongoza shirika hilo.[2]
PJAK imetajwa kama shirika la kigaidi na Marekani, Irani na Uturuki, ilhali Urusi, Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya na nchi nyingine nyingi wamekataa kulitambua kama shirika la kigaidi.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Röbel, Sven (14 Aprili 2008). "Ujerumani inajali shughuli za PJAK". Der Spiegel. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-20. Iliwekwa mnamo 23 Februari 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ عبدالرحمان حاجی احمدی، از بنیانگذاران پژاک، درگذشت (in Persian)
- ↑ Germany Rejects Iran Extradition Request, Radio Free Europe, 9 March 2010.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdul Rahman Haji Ahmadi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |