AbdulRazzaq AbdulMajeed Alaro
Mandhari
AbdulRazzaq AbdulMajeed Alaro ni profesa wa sheria kutoka Nigeria, aliyebobea katika Sheria ya Kiislamu ya Miamala ya Kifedha, ikiwemo Benki, Bima na [Masoko]] ya Mitaji. Amewahi kuwa Mkuu wa Idara ya Sheria ya Kiislamu katika Chuo Kikuu cha Ilorin.[1][2]
Ujuzi
[hariri | hariri chanzo]Mwaka 2008, alijiunga na Kitivo cha Sheria katika Chuo Kikuu cha Ilorin, kilichopo Ilorin, Jimbo la Kwara, akiwa Mhadhiri Mwandamizi. Akiwa Mkurugenzi wa Uhakiki wa Ubora katika Chuo Kikuu cha Ilorin, aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Bima ya Takaful la Tume ya Taifa ya Bima (NAICOM).Marejeo[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ayinla-Edun, Mohd Jamiu; Alaro, mni, Prof. Abdulrazzaq Abdulmajeed (2026-06-28). "AN ASSESSMENT OF THE LEGAL FRAMEWORKS FOR SHARI'AH COMPLIANT HOUSING FINANCE IN NIGERIA: LESSONS FROM MALAYSIA AND AUSTRALIA". Journal of Islamic Economics and Finance. 1 (1). doi:10.67295/jief.v1i1.379. ISSN 2806-495X.
- ↑ Ayinla-Edun, Mohd Jamiu; Alaro, mni, Prof. Abdulrazzaq Abdulmajeed (2026-06-28). "AN ASSESSMENT OF THE LEGAL FRAMEWORKS FOR SHARI'AH COMPLIANT HOUSING FINANCE IN NIGERIA: LESSONS FROM MALAYSIA AND AUSTRALIA". Journal of Islamic Economics and Finance. 1 (1). doi:10.67295/jief.v1i1.379. ISSN 2806-495X.
- ↑ Don, Zuraidah Mohd (2016-11-03), "Graduate employability in government discourse", Policy Discourses in Malaysian Education, Routledge, ku. 125–141, ISBN 978-1-315-64270-3, iliwekwa mnamo 2026-08-29
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu AbdulRazzaq AbdulMajeed Alaro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |