Abdoulaye Diallo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Abdoulaye Diallo

Abdoulaye Diallo (alizaliwa 30 Machi 1992) ni kipa wa soka wa Senegal ambaye sasa anacheza katika klabu ya Rennes.

Rennes[hariri | hariri chanzo]

Alijiunga na Rennes mwaka 2007. Diallo alifanya kazi yake ya kwanza, akiwa na umri wa miaka 17, tarehe 29 Novemba 2009 katika mechi ya ligi dhidi ya Olympique Lyonnais.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdoulaye Diallo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.