Abdirahman Ahmed Ali Tuur
Mandhari
| Abdirahman Ahmed Ali Tuur | |
| Amezaliwa | Novemba 6, 1931 Burao, Somaliland ya Kiingereza (sasa Somalia) |
|---|---|
| Elimu | Chuo Kikuu cha Exeter |
Abdirahman Ahmed Ali Tuur (6 Novemba 1931 - 8 Novemba 2003) alikuwa mwanasiasa wa Somalia aliyetumikia kama Rais wa kwanza wa Somaliland kuanzia mwaka 1991 hadi 1993. Kabla ya hapo, Tuur alikuwa Mwenyekiti wa chama cha harakati ya kitaifa ya Kisomali kuanzia mwaka 1990 hadi 1991.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Issue Paper: SOMALIA, UPDATE ON THE SITUATION IN THE NORTH (SOMALILAND)[dead link], Research Directorate of the Immigration and Refugee Board of Canada, January 1995</ref>
| Makala hii kuhusu wakimbizi au masuala ya ukimbizi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdirahman Ahmed Ali Tuur kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |