Abdelmalek Benhabyles
Mandhari
Abdelmalek Benhabylès (27 Aprili 1921 – 28 Desemba 2018) alikuwa mwanasiasa wa Algeria.[1]
Alizaliwa Beni Aziz. Alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kikatiba (Constitutional Council) kuanzia 12 Aprili 1989 hadi 20 Machi 1995, na hivyo kwa muda alihudumu kama Kiongozi wa nchi wa mpito wakati jeshi lilipomwondoa Chadli Bendjedid.
Mnamo 17 Desemba 2012, alitunukiwa tuzo ya daraja la kwanza (Grand Cordon) ya Order of the Rising Sun.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Décès d'Abdelmalek Benhabylès, Président du Conseil Constitutionnel sous Chadli - DIA", DIA (kwa Kifaransa), 2018-12-29, iliwekwa mnamo 2026-05-17
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdelmalek Benhabyles kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |