Nenda kwa yaliyomo

Abdel Moneim Aboul Fotouh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdel Moneim Aboul Fotouh Abdel Hady (alizaliwa 15 Oktoba 1951) ni daktari, mwanaharakati wa zamani wa wanafunzi na mwanasiasa kutoka Misri. Mwaka 2011–2012 aligombea urais wa Misri kama mgombea huru.[1] Hapo awali alikuwa mmoja wa viongozi wa Muslim Brotherhood nchini Misri.

  1. [(https://www.britannica.com/biography/Abdel-Moneim-Aboul-Fotouh) "Abdel Moneim Aboul Fotouh"]. Encyclopaedia Britannica. Iliwekwa mnamo 8 Mei 2026. {{cite web}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdel Moneim Aboul Fotouh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.