Nenda kwa yaliyomo

Abde Ezzalzouli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdessamad "Abde" Ezzalzouli (alizaliwa 17 Desemba, 2001), wakati mwingine hujulikana kama Ez Abde, ni mchezaji wa Morocco anaichezea klabu Real Betis na timu ya taifa ya kandanda ya Morocco.[1]

  1. "Egypt U23 vs Morocco U23: Olympics". BBC Sport. 8 Agosti 2024. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abde Ezzalzouli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.