Abdarrahman al-Makudi
Mandhari
Abu Zaid Abd-Arrahman Ibn Ali Salih al-Makkudi (alifariki mjini Fes, mwaka 1405) alikuwa mtaalamu wa sarufi ya lugha kutoka nchini Morocco. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Al Khattab Al May (Libya), A critical study and Edition of Sharh al-Makkudi Al Alfiyyat Ibn Malik by Abu Zaid al-Makkudi (d 807AH-1405CE), ed. Al-Maktoum Institute, Dundee Scotland (March 2007)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdarrahman al-Makudi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |