Abdallah Majurah Bulembo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Abdallah Majurah Bulembo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ameteuliwa kuwa mbunge kwa Uteuzi wa Raisi kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017