Nenda kwa yaliyomo

Abdallah Kallel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdallah Kallel (Kiarabu: عبد الله القلال; amezaliwa 7 Desemba 1943 katika Sfax) ni mwanasiasa wa Tunisia.

Aliwahi kuwa Rais wa Chamber of Advisors kuanzia 16 Agosti 2005 hadi 25 Januari 2011.[1][1]

  1. "Clarivate". access.clarivate.com. Iliwekwa mnamo 2026-05-15.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdallah Kallel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.